your daily news


I made this widget at MyFlashFetish.com.

Saturday, March 27, 2010

Taifa stars yafanya mauaji leo yainyuka somalia mabao 6-0

Mshambuliaji wa Taifa Stars, Mrisho Ngasa akiwatoka mabeki wa timu ya Somalia, Mohamed Hassan Ali (kushoto) na Hussein Ali Robile wakati wa mchezo wa kusaka tiketi ya kucheza fainali za Afrika kwa wachezaji wanocheza ligi za ndani (CHAN) uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam. Stars imeshinda 6-0.

No comments:

Post a Comment

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner